1 Samueli 10:16 BHN

16 Shauli akajibu, “Alituambia waziwazi kuwa punda wamepatikana.” Lakini Shauli hakumweleza kuwa Samueli alimwambia kuwa atakuwa mfalme.

Kusoma sura kamili 1 Samueli 10

Mtazamo 1 Samueli 10:16 katika mazingira