1 Samueli 10:19 BHN

19 Lakini leo hii mmenikataa mimi Mungu wenu ambaye nawaokoa kutoka maafa na huzuni zenu; nanyi mmesema, ‘La! Tuwekee mfalme juu yetu.’ Sasa, basi, jikusanyeni nyote mbele yangu mkiwa katika makabila yenu na kwa maelfu yenu.”

Kusoma sura kamili 1 Samueli 10

Mtazamo 1 Samueli 10:19 katika mazingira