1 Samueli 10:21 BHN

21 Akalileta mbele kabila la Benyamini, kulingana na koo zake, na ukoo wa Matri ukachaguliwa kwa kura. Mwisho akauleta mbele ukoo wa Matri, na Shauli mwana wa Kishi akachaguliwa kwa kura. Lakini walipomtafuta hakupatikana.

Kusoma sura kamili 1 Samueli 10

Mtazamo 1 Samueli 10:21 katika mazingira