1 Samueli 11:6 BHN

6 Mara, Shauli aliposikia maneno hayo, roho ya Mungu ikamjia kwa nguvu, naye akawaka hasira kali.

Kusoma sura kamili 1 Samueli 11

Mtazamo 1 Samueli 11:6 katika mazingira