1 Samueli 11:8 BHN

8 Shauli alipowapanga Waisraeli huko Bezeki akawa na watu 300,000 kutoka Israeli na 30,000 kutoka Yuda.

Kusoma sura kamili 1 Samueli 11

Mtazamo 1 Samueli 11:8 katika mazingira