1 Samueli 12:12 BHN

12 Lakini mlipomwona mfalme Nahashi wa Waamoni amekuja kuwashambulia, mkamkataa Mwenyezi-Mungu ambaye ndiye Mfalme wenu, mkaniambia, ‘La! Mfalme ndiye atakayetutawala.’

Kusoma sura kamili 1 Samueli 12

Mtazamo 1 Samueli 12:12 katika mazingira