1 Samueli 12:2 BHN

2 Sasa, mnaye mfalme wa kuwaongoza. Kwa upande wangu, mimi ni mzee mwenye mvi, na watoto wangu wa kiume wako pamoja nanyi. Nimekuwa kiongozi wenu tangu nilipokuwa kijana mpaka sasa.

Kusoma sura kamili 1 Samueli 12

Mtazamo 1 Samueli 12:2 katika mazingira