23 Tena kwa upande wangu haitatokea niache kuwaombea kwa Mwenyezi-Mungu; kufanya hivyo itakuwa kumkosea Mwenyezi-Mungu. Nitaendelea kuwafundisha njia njema na ya haki.
Kusoma sura kamili 1 Samueli 12
Mtazamo 1 Samueli 12:23 katika mazingira