1 Samueli 12:5 BHN

5 Samueli akajibu, “Mwenyezi-Mungu ni shahidi juu yenu, na mfalme wake mteule leo ni shahidi kuwa mmeniona sina hatia.” Wao wakajibu: “Yeye ni shahidi.”

Kusoma sura kamili 1 Samueli 12

Mtazamo 1 Samueli 12:5 katika mazingira