1 Samueli 13:6 BHN

6 Waisraeli walipoona wako taabuni (maana walikuwa wanashambuliwa vikali), walianza kujificha. Wengine walijificha mapangoni, wengine mashimoni, wengine kwenye miamba, wengine kwenye makaburi na wengine kwenye visima.

Kusoma sura kamili 1 Samueli 13

Mtazamo 1 Samueli 13:6 katika mazingira