1 Samueli 14:28 BHN

28 Mtu mmoja akamwambia, “Baba yako aliwaapisha watu vikali, akisema, ‘Mtu yeyote atakayekula chakula leo na alaaniwe.’” Nao watu walikuwa hoi kwa njaa.

Kusoma sura kamili 1 Samueli 14

Mtazamo 1 Samueli 14:28 katika mazingira