13 Samueli alipomfikia Shauli, Shauli akamwambia Samueli, “Mwenyezi-Mungu na akubariki! Nimetekeleza amri ya Mwenyezi-Mungu.”
Kusoma sura kamili 1 Samueli 15
Mtazamo 1 Samueli 15:13 katika mazingira