26 Samueli akamjibu: “Kamwe, siwezi kurudi pamoja nawe. Wewe umeikataa amri ya Mwenyezi-Mungu, naye amekukataa kuwa mfalme juu ya Israeli.”
Kusoma sura kamili 1 Samueli 15
Mtazamo 1 Samueli 15:26 katika mazingira