1 Samueli 15:30 BHN

30 Shauli akajibu, “Nimefanya dhambi. Hata hivyo, unistahi sasa mbele ya wazee wa watu wangu na Waisraeli. Niruhusu nirudi pamoja nawe ili nikamwabudu Mwenyezi-Mungu, Mungu wako.”

Kusoma sura kamili 1 Samueli 15

Mtazamo 1 Samueli 15:30 katika mazingira