1 Samueli 15:9 BHN

9 Lakini Shauli na watu wake hawakumuua Agagi, wala kondoo bora kabisa, ng'ombe wazuri, ndama, wanakondoo na chochote kile kilichokuwa kizuri hawakukiangamiza. Lakini vitu vyote vibaya na visivyo na thamani waliviangamiza.

Kusoma sura kamili 1 Samueli 15

Mtazamo 1 Samueli 15:9 katika mazingira