1 Samueli 16:2 BHN

2 Samueli akasema, “Nitawezaje kwenda? Kama Shauli akisikia habari hizo, ataniua!” Mwenyezi-Mungu akamwambia, “Chukua ndama pamoja nawe, na ukifika huko useme, ‘Nimekuja kumtolea Mwenyezi-Mungu tambiko’.

Kusoma sura kamili 1 Samueli 16

Mtazamo 1 Samueli 16:2 katika mazingira