1 Samueli 16:5 BHN

5 Samueli akawaambia, “Nimekuja kwa amani. Nimekuja kumtolea tambiko Mwenyezi-Mungu. Jitakaseni wenyewe halafu twendeni kutoa tambiko.” Samueli akamtakasa Yese pamoja na wanawe, akawakaribisha kwenye tambiko.

Kusoma sura kamili 1 Samueli 16

Mtazamo 1 Samueli 16:5 katika mazingira