1 Samueli 17:28 BHN

28 Lakini Eliabu, kaka mkubwa wa Daudi alipomsikia Daudi akiongea na watu, alimkasirikia Daudi, akasema, “Kwa nini umekuja? Je, wale kondoo wachache umemwachia nani kule nyikani? Najua ujeuri wako na uovu wako. Umekuja tu kutazama vita.”

Kusoma sura kamili 1 Samueli 17

Mtazamo 1 Samueli 17:28 katika mazingira