1 Samueli 17:40 BHN

40 Daudi akachukua fimbo yake mkononi, akajichagulia mawe matano mazuri kutoka kwenye kijito, akayatia katika mfuko wake wa mchungaji. Kombeo lake likiwa tayari mkononi mwake, akaanza kumwendea Goliathi Mfilisti.

Kusoma sura kamili 1 Samueli 17

Mtazamo 1 Samueli 17:40 katika mazingira