1 Samueli 17:7 BHN

7 Mpini wa mkuki wake ulikuwa kama mti wa mfumanguo, na chembe cha mkuki huo, kilikuwa na uzito wa kilo saba. Ngao yake ilibebwa na mtu mwingine aliyemtangulia.

Kusoma sura kamili 1 Samueli 17

Mtazamo 1 Samueli 17:7 katika mazingira