1 Samueli 18:10 BHN

10 Kesho yake, roho mwovu kutoka kwa Mungu, alimvamia Shauli kwa ghafla, akawa anapayukapayuka kama mwendawazimu nyumbani kwake. Daudi alikuwa anapiga kinubi kama alivyofanya siku zote. Shauli alikuwa na mkuki mkononi mwake;

Kusoma sura kamili 1 Samueli 18

Mtazamo 1 Samueli 18:10 katika mazingira