1 Samueli 18:25 BHN

25 Shauli akawaambia, “Mwambieni Daudi hivi: ‘Kile ambacho mfalme anataka kama mahari ya binti yake ni magovi 100 ya Wafilisti, ili ajilipize kisasi cha adui zake.’” [Hivi ndivyo Shauli alivyopanga Daudi auawe na Wafilisti.]

Kusoma sura kamili 1 Samueli 18

Mtazamo 1 Samueli 18:25 katika mazingira