8 Shauli hakupendezwa na maneno ya wimbo huo, hivyo akakasirika sana. Akasema, “Wamempa Daudi makumi elfu, lakini mimi wamenipa maelfu tu. Lililobakia ni kumpa Daudi ufalme.”
Kusoma sura kamili 1 Samueli 18
Mtazamo 1 Samueli 18:8 katika mazingira