1 Samueli 19:13 BHN

13 Mikali akachukua kinyago, akakilaza kitandani na kichwani pake akaweka mto wa manyoya ya mbuzi. Kisha akakifunika kwa nguo.

Kusoma sura kamili 1 Samueli 19

Mtazamo 1 Samueli 19:13 katika mazingira