1 Samueli 19:6 BHN

6 Shauli alimsikiliza Yonathani, kisha akaapa, “Naapa kwa Mwenyezi-Mungu aliye hai, sitamuua Daudi.”

Kusoma sura kamili 1 Samueli 19

Mtazamo 1 Samueli 19:6 katika mazingira