1 Samueli 2:11 BHN

11 Kisha, Elkana akarudi nyumbani Rama. Lakini mtoto Samueli akabaki Shilo kumtumikia Mwenyezi-Mungu chini ya uongozi wa kuhani Eli.

Kusoma sura kamili 1 Samueli 2

Mtazamo 1 Samueli 2:11 katika mazingira