1 Samueli 2:14 BHN

14 huyo mtumishi aliuchomeka uma huo ndani ya chungu, nyama yoyote iliyotolewa humo na uma huo, ilikuwa mali ya kuhani. Waisraeli wote waliokwenda Shilo kutolea tambiko zao walitendewa hivyo.

Kusoma sura kamili 1 Samueli 2

Mtazamo 1 Samueli 2:14 katika mazingira