1 Samueli 2:27 BHN

27 Siku moja, mtu wa Mungu alimwendea Eli, akamwambia, “Mwenyezi-Mungu amesema hivi: ‘Nilijijulisha kwa jamaa ya Aroni, wazee wako, walipokuwa watumwa wa Farao nchini Misri.

Kusoma sura kamili 1 Samueli 2

Mtazamo 1 Samueli 2:27 katika mazingira