1 Samueli 2:3 BHN

3 Acheni kujisifu,acheni kusema ufidhuli.Maana ajuaye ni Mwenyezi-Mungu.Yeye huyapima matendo yote.

Kusoma sura kamili 1 Samueli 2

Mtazamo 1 Samueli 2:3 katika mazingira