1 Samueli 2:8 BHN

8 Huwainua maskini toka mavumbini;huwanyanyua wahitaji toka majivuni,akawaketisha pamoja na wakuu,na kuwarithisha viti vya heshima.Maana, minara ya dunia ni ya Mwenyezi-Mungu;yeye ameisimika dunia juu ya minara yake.

Kusoma sura kamili 1 Samueli 2

Mtazamo 1 Samueli 2:8 katika mazingira