1 Samueli 20:13 BHN

13 Mwenyezi-Mungu na aniue ikiwa Shauli anakusudia kukudhuru, nami nisikutahadharishe ili uende mahali mbali ambapo utakuwa salama. Mwenyezi-Mungu na awe pamoja nawe kama alivyokuwa pamoja na baba yangu.

Kusoma sura kamili 1 Samueli 20

Mtazamo 1 Samueli 20:13 katika mazingira