1 Samueli 20:19 BHN

19 Tena, kesho kutwa, watu watakukosa kabisa. Siku hiyo nenda mahali ambapo ulijificha wakati jambo hili lilipokuwa bado motomoto, ukajifiche nyuma ya rundo la mawe.

Kusoma sura kamili 1 Samueli 20

Mtazamo 1 Samueli 20:19 katika mazingira