1 Samueli 20:29 BHN

29 Aliniambia, ‘Niruhusu niende kwa jamaa yangu, kwa kuwa wanafanya karamu ya tambiko huko mjini, na ndugu yangu amenitaka niwepo. Hivyo kama ni sawa kwako niruhusu niende kwa ndugu zangu’. Ndio maana hayuko hapa kushiriki chakula cha mfalme.”

Kusoma sura kamili 1 Samueli 20

Mtazamo 1 Samueli 20:29 katika mazingira