1 Samueli 20:31 BHN

31 Je, hujui kwamba Daudi awapo hai, wewe hutaweza kupata fursa ya kuwa mfalme wa nchi hii? Sasa nenda ukamlete hapa kwangu, kwa kuwa lazima auawe.”

Kusoma sura kamili 1 Samueli 20

Mtazamo 1 Samueli 20:31 katika mazingira