1 Samueli 20:35 BHN

35 Kesho yake asubuhi, Yonathani alikwenda kule shambani, kukutana na Daudi kama walivyoagana. Alikwenda huko na kijana mmoja wa kiume.

Kusoma sura kamili 1 Samueli 20

Mtazamo 1 Samueli 20:35 katika mazingira