1 Samueli 21:11 BHN

11 Watumishi wa mfalme wakamwambia Akishi, “Huyu si Daudi, mfalme wa nchi ya Israeli? Je, si huyu ambaye walikuwa wakiimbiana juu yake katika ngoma, wakisema, ‘Shauli ameua maelfu yake na Daudi ameua makumi elfu yake?’”

Kusoma sura kamili 1 Samueli 21

Mtazamo 1 Samueli 21:11 katika mazingira