1 Samueli 22:1 BHN

1 Daudi aliondoka huko akakimbilia kwenye pango karibu na mji wa Adulamu. Kaka zake na ndugu zake wengine waliposikia kwamba alikuwa hapo, wote walikwenda kuungana naye.

Kusoma sura kamili 1 Samueli 22

Mtazamo 1 Samueli 22:1 katika mazingira