11 Mfalme Shauli akaagiza kuhani Ahimeleki mwana wa Ahitubu, pamoja na watu wote wa jamaa ya baba yake ambao walikuwa makuhani huko Nobu waitwe. Wote wakamwendea mfalme Shauli.
Kusoma sura kamili 1 Samueli 22
Mtazamo 1 Samueli 22:11 katika mazingira