1 Samueli 22:15 BHN

15 Leo, sio mara ya kwanza kumwomba Mungu shauri kwa ajili yake. Mfalme, usinishuku mimi wala mtu yeyote katika jamaa ya baba yangu juu ya njama hizo. Mimi mtumishi wako, sijui lolote, liwe kubwa au dogo juu ya jambo hilo.”

Kusoma sura kamili 1 Samueli 22

Mtazamo 1 Samueli 22:15 katika mazingira