1 Samueli 22:3 BHN

3 Kutoka huko, Daudi alikwenda mpaka huko Mizpa nchini Moabu. Akamwambia mfalme wa Moabu, “Nakuomba, baba yangu na mama yangu wakae hapa kwako mpaka nijue Mungu atanifanyia nini.”

Kusoma sura kamili 1 Samueli 22

Mtazamo 1 Samueli 22:3 katika mazingira