1 Samueli 22:5 BHN

5 Kisha nabii Gadi akamwambia Daudi, “Usikae hapa ngomeni, ondoka mara moja uende katika nchi ya Yuda.” Basi, Daudi akaondoka, akaenda kwenye msitu wa Herethi.

Kusoma sura kamili 1 Samueli 22

Mtazamo 1 Samueli 22:5 katika mazingira