1 Samueli 23:10 BHN

10 Kisha Daudi akaomba, “Ee Mwenyezi-Mungu, Mungu wa Israeli, kwa hakika mimi mtumishi wako, nimesikia kwamba Shauli anapanga kuja kuangamiza mji wa Keila kwa sababu yangu.

Kusoma sura kamili 1 Samueli 23

Mtazamo 1 Samueli 23:10 katika mazingira