1 Samueli 23:17 BHN

17 Yonathani alimwambia, “Usiogope, baba yangu Shauli hatakupata. Wewe utakuwa mfalme wa Israeli, mimi nitakuwa wa pili wako. Hata Shauli baba yangu anajua jambo hili.”

Kusoma sura kamili 1 Samueli 23

Mtazamo 1 Samueli 23:17 katika mazingira