1 Samueli 23:22 BHN

22 Nendeni, mkahakikishe tena, mjue mahali anapojificha, na ni nani amemwona mahali hapo; maana nimeambiwa kwamba yeye ni mjanja sana.

Kusoma sura kamili 1 Samueli 23

Mtazamo 1 Samueli 23:22 katika mazingira