1 Samueli 23:28 BHN

28 Hivyo, Shauli akaacha kumfuatilia Daudi, akaenda kupigana na Wafilisti. Ndio maana mahali hapo pakaitwa “Mwamba wa Matengano.”

Kusoma sura kamili 1 Samueli 23

Mtazamo 1 Samueli 23:28 katika mazingira