1 Samueli 23:5 BHN

5 Basi, Daudi akaenda Keila pamoja na watu wake, na huko akapigana na Wafilisti, akawaua Wafilisti wengi na kuteka nyara ng'ombe wengi. Hivyo Daudi aliwaokoa wakazi wa Keila.

Kusoma sura kamili 1 Samueli 23

Mtazamo 1 Samueli 23:5 katika mazingira