1 Samueli 25:1 BHN

1 Sasa, Samueli alifariki; nao Waisraeli wote wakakusanyika ili kumwombolezea. Wakamzika nyumbani kwake huko Rama.Kisha Daudi akaenda zake kwenye nyika za Parani.

Kusoma sura kamili 1 Samueli 25

Mtazamo 1 Samueli 25:1 katika mazingira