1 Samueli 25:10 BHN

10 Kisha Nabali akawajibu watumishi wa Daudi, “Daudi ni nani? Mwana wa Yese ni nani? Siku hizi kuna watumishi wengi wanaowakimbia mabwana zao.

Kusoma sura kamili 1 Samueli 25

Mtazamo 1 Samueli 25:10 katika mazingira