1 Samueli 25:21 BHN

21 Daudi alikuwa akifikiri, “Mimi nimekuwa nikilinda mali yote ya Nabali nyikani bila faida yoyote na hakuna kitu chake chochote kilichopotea, naye amenilipa mabaya kwa mema niliyomtendea.

Kusoma sura kamili 1 Samueli 25

Mtazamo 1 Samueli 25:21 katika mazingira