1 Samueli 25:26 BHN

26 Sasa bwana wangu, naapa kwa Mwenyezi-Mungu aliye hai, na vile ulivyo hai, kwamba kwa kuwa Mwenyezi-Mungu amekuzuia usilipize kisasi kwa kumwaga damu na kujipatia lawama, waache adui zako na wale wote wanaokutakia mabaya wawe wapumbavu kama Nabali.

Kusoma sura kamili 1 Samueli 25

Mtazamo 1 Samueli 25:26 katika mazingira